Mtondoli
Member
- Nov 9, 2021
- 70
- 174
Wadau hili neno mfumo dume kwa hapa Tanzania tunapaswa kulifuta haraka ,.tukiendelea kulichekea ni muda mchache imebaki wanaume tutaanza kuandamana kupinga mfume jike. Kwa Sasa inaonekana sisi wanaume ni majitu ya hovyo na makatili sana.
Hatupewi hata heshima ya asili tuliyopaswa kupewa,iwe kisiasa au kijamii Hali imekuwa mbaya .kwa sababu Kuna madawati mengi ya kumtetea mwanamke hata Kama ni yeye mkorofi ,nimesikia kinyang'anyiro Cha uspika huko
Sisi hatuingii bungeni naomba sana ndugu wabunge mtakaopiga kura msikubali mihimili yote mitatu ishikwe na wanawake tuleteeni spika mwanaume mtakuja kunishukuru