Neno Mh Rais alilotumia Jaji Mkuu ni kumhusu Rais wa TLS Mwabukusi na si vinginevyo

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais.

Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi .

Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi.

Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa.

Nj hayo tu.
 
Mkuu, unajipa matumaini hewa. Nchi hii hakuna mhimili ambao umesimama upande wa wananchi.

Kama mhimili wa mahakama ungekuwa umesimama upande wa wananchi, mazafaka Masaju asingemualika Samia The Killer kwenye hayo maadhimisho ya Siku ya Sheria. After all, kitendo cha kumfanya mkuu wa mhimili wa executive kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya mhimili wa mahakama ni ushahidi kwamba mhimili wa mahakama uko chini ya mhimili wa executive, for all intents and purposes!
 
Mimi nadhani alimwita kumwambia kuwa kungangania kesi dhidi ya Lissu ni aibu kwa mhimili wa mahakama
 
Mkuu, unajipa matumaini hewa. Nchi hii hakuna mhimili ambao umesimama upande wa wananchi.

Kama mhimili wa mahakama ungekuwa umesimama upande wa wananchi, mazafaka Masaju asingemualika Samia The Killer kwenye hayo maadhimisho ya Siku ya Sheria. After all, kitendo cha kumfanya mkuu wa mhimili wa executive kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya mhimili wa mahakama ni ushahidi kwamba mhimili wa mahakama uko chini ya mhimili wa executive, for all intents and purposes!
👍
 
Salaam!

Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais.

Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi .

Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi.

Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa.

Nj hayo tu.
Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa💪🏿📌🔨
 
Back
Top Bottom