Mkuu, unajipa matumaini hewa. Nchi hii hakuna mhimili ambao umesimama upande wa wananchi.Salaam!
Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais.
Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi .
Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi.
Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa.
Nj hayo tu.
Mimi nadhani alimwita kumwambia kuwa kungangania kesi dhidi ya Lissu ni aibu kwa mhimili wa mahakamaMkuu, unajipa matumaini hewa. Nchi hii hakuna mhimili ambao umesimama upande wa wananchi.
Kama mhimili wa mahakama ungekuwa umesimama upande wa wananchi, mazafaka Masaju asingemualika Samia The Killer kwenye hayo maadhimisho ya Siku ya Sheria. After all, kitendo cha kumfanya mkuu wa mhimili wa executive kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya mhimili wa mahakama ni ushahidi kwamba mhimili wa mahakama uko chini ya mhimili wa executive, for all intents and purposes!
πMkuu, unajipa matumaini hewa. Nchi hii hakuna mhimili ambao umesimama upande wa wananchi.
Kama mhimili wa mahakama ungekuwa umesimama upande wa wananchi, mazafaka Masaju asingemualika Samia The Killer kwenye hayo maadhimisho ya Siku ya Sheria. After all, kitendo cha kumfanya mkuu wa mhimili wa executive kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya mhimili wa mahakama ni ushahidi kwamba mhimili wa mahakama uko chini ya mhimili wa executive, for all intents and purposes!
A truly independent judiciary haina haja ya kufanya hivyo, kwasababu haihitaji kibali cha executive branch kutupilia mbali kesi ya mchongo!Mimi nadhani alimwita kumwambia kuwa kungangania kesi dhidi ya Lissu ni aibu kwa mhimili wa mahakama
Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisaπͺπΏππ¨Salaam!

Kwamba!