Neno mkata umeme limetokana na nini?

Neno mkata umeme limetokana na nini?

EGF

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
387
Reaction score
986
Habari za muda huu wana jamvi, Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikia neno MKATA UMEME likitumika katika mazingira tofauti hasa katika upande wa mpira wa miguu, limekua likitumika kwa mchezaji Fraga( mtibua mipango).

Ningependa kufahamu hasa hili neno lilianzia wapi na mtu anaepewa sifa ya jina hili ni mtu wa aina gani?
 
Back
Top Bottom