Neno moja kwa Abdallah

Neno moja kwa Abdallah

Wabongo tunapendaga vita tu
Naenda Jumuiya kwanza. Nitamuombea Dulla
20220718_134038.jpg
 
Huyo ni mke wa Bashungwa.

Miaka 16 iliyopita Abdala alimpa huyo mdada namba ya Bashungwa.

Huyo dada akakutana na Bashungwa wakapata watoto mpaka wamefika wanne.

Mdada amekutana na kiunganishi miaka 16 baadaye
Ni mke wa bashungwa kweli ?
 
Huyo ni mke wa Bashungwa.

Miaka 16 iliyopita Abdala alimpa huyo mdada namba ya Bashungwa.

Huyo dada akakutana na Bashungwa wakapata watoto mpaka wamefika wanne.

Mdada amekutana na kiunganishi miaka 16 baadaye
Nakubali hiyo sura ya mtoto ni ya Wazir.
 
Back
Top Bottom