Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Nov 18, 2015 #1 Neno moja tuu kwake, ukizingatia bado ni chipukizi. Me naanza, aache mpira wa Kihuni, amecheza utadhani yupo uwanja wa kaitaba usiokuwa na kamera.
Neno moja tuu kwake, ukizingatia bado ni chipukizi. Me naanza, aache mpira wa Kihuni, amecheza utadhani yupo uwanja wa kaitaba usiokuwa na kamera.
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Nov 18, 2015 #2 Wachezaji wetu hawana wataalamu wa kuwajenga kisaikolojia, hizi lawama hawastahili
B Baba Kiki JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,544 Reaction score 943 Nov 18, 2015 #3 Yaliyopita si ndwele
R Rio Tinto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 777 Reaction score 451 Nov 18, 2015 #4 Ni ujinga kufikiria kuwa Mudathir Yahya anaweza kumkaba Yacine Brahimi...alishindwa Ivanovic wa Chelsea
Ni ujinga kufikiria kuwa Mudathir Yahya anaweza kumkaba Yacine Brahimi...alishindwa Ivanovic wa Chelsea