Neno moja kwa Mudathir Yahaya

Neno moja kwa Mudathir Yahaya

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Neno moja tuu kwake, ukizingatia bado ni chipukizi.

Me naanza, aache mpira wa Kihuni, amecheza utadhani yupo uwanja wa kaitaba usiokuwa na kamera.
 
Wachezaji wetu hawana wataalamu wa kuwajenga kisaikolojia, hizi lawama hawastahili
 
Ni ujinga kufikiria kuwa Mudathir Yahya anaweza kumkaba Yacine Brahimi...alishindwa Ivanovic wa Chelsea
 
Back
Top Bottom