MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Mkuu sio kwetu tu kuna jamaa yupo Kenya huko anasemaga waumini wewe fala kabisa mara mjinga pumbafu kwanini umesimama wakati mimi na hupiri alaaaaa!! Nganga huyo anatukana hatari na watu wana jaaa kanisani mwake balaa.Wajinga ni wengi sana kwenye hii nchi yetu