GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Taratibu kaka, mimi ni Mtanzania ila naangalia haya mambo katika regional perspective. Instability kwenye nchi moja inaweza ikaleta matatizo kwenye nchi nyingine within the East Africa.
Mkuu acha tu ' Kinuke ' huko Kenya ili kupatikane ' Fursa ' zingine. au hujui kwamba Kufa Kufaana? Wewe si unadai ni ' Mchumi ' sasa unashindwaje tu kujua kwamba shida ya nchi jirani ikitumika vyema inaweza ikawa ni neema kwa nchi zingine? Mkuu vitu vingine ni common sense tu. Katika dunia hii ya Capitalism ' machafuko ' ya nchi fulani huwa ni faida kwa taifa au mataifa jirani katika kukuza Uchumi wao. Umeshajiuliza swali kwamba ni kwanini huko nyuma Rwanda ilikuwa inachochea machafuko ya nchini Congo DR? Hivi unajua kwamba ' Utajiri ' wa Rwanda uliongezeka ' maradufu ' kwa yale ' mapigano ' tu ya muda mfupi ya ' Waasi ' wa huko Congo DR? Hata Wakenya wenyewe siku wakisikia kwamba Tanzania ' Kimenuka ' nao watafurahi vile vile kwani kuna namna ambavyo nao ' watafaidika ' Kiuchumi japo hili linahitaji ' akili ' kubwa kulielewa / kuling'amua.