Neno moja kwa wagunduzi wa Internet & mitandao ya kijamii

Neno moja kwa wagunduzi wa Internet & mitandao ya kijamii

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Wakuu salaam,
Ukiperuzi mitandao ya kijamii, ukaona vile watu wanaenjoy maisha, huwezi amini kama wanapitia magumu katika maisha yao halisi.

Neno langu kwao wagunduzi hawa Mungu awasamehe dhambi zao na awaandalie pepo ya kipekee maana wametutengenezea staara ya magumu yetu.

Karibu nawe uwape neno hawa miamba.
 
Tuwapongeze kwa kujua na kutumia karama zao kuendeleza uumbaji wa vitu duniani

Ni Waliotika wito na kutii tuu ndio wanaweza kuacha alama njema duniani. Maana wapo wanaoacha mabaya na wanaoacha mazuri
 
Niwapuuzi kabisa wameleta ma vitu ya ajabu yeny hasara kedekede
 
Wapambane na hali yao ya kiroho.....maana wana agenda tofauti kabisa na unachofikiria.
 
Tuwapongeze kwa kujua na kutumia karama zao kuendeleza uumbaji wa vitu duniani

Ni Waliotika wito na kutii tuu ndio wanaweza kuacha alama njema duniani. Maana wapo wanaoacha mabaya na wanaoacha mazuri
umenena vyema mkuu
 
mie siku ya kwanza tu kuingia kwa internet na mitandao, kipindi hicho hotmail inapasua anga nilienda moja kwa moja kwenye tovuti pendwaaa za vijana, usiniulize yalojiri baadae
 
Back
Top Bottom