Neno "Mwendazake" na upotoshaji wa kikanuni unaoendelea sasa

Mheikungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
215
Reaction score
451
LOGIC:

"Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani."

1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani?

2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani?

3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa dini, wataanzisha tafrani ya kuvunja amani kama reaction ya kumtetea marehemu?

4. Au ukisema tu "Mwendazake" basi nchi inapata kisulisuli cha asili; vita, majanga na mapigano yanazuka automatically?

USHAURI; Viongozi wa Dini wasome shule kabla ya kuvaa nguo za heshima na misalaba shingoni.

Wanahusika kupotosha hata neno la kiswahili sanifu!
 
Huyu 'asikofu'anatafuta umaarufu kwa gubu la wandanganyika huyu.Hawajui wabongo wamesha fanyia tafsiri hata ya jina lake la konk kuwa eti ni kuku jike au jasho la sehemu kati sehemu ya hajakubwa kuelekea mbeleni
>[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Mwendazake", ni neno la kiswahili sanifu kitumikacho maeneo ya Lamu, na Mombasa. Neno hili ni tafsiri ya neno la kiingereza " Deceased",likiwa na maana ya "aliyekufa", au marehemu.
Hakuna udhalilishaji wowote katika kutuma neno hili. Tujifunze kiswahili ndugu zangu, tutaonekana kuwa ni watu wa kushangza.
 
LOGIC:

"Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani."

1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani?

2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani?

3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa dini, wataanzisha tafrani ya kuvunja amani kama reaction ya kumtetea marehemu?

4. Au ukisema tu "Mwendazake" basi nchi inapata kisulisuli cha asili; vita, majanga na mapigano yanazuka automatically?

USHAURI; Viongozi wa Dini wasome shule kabla ya kuvaa nguo za heshima na misalaba shingoni.

Wanahusika kupotosha hata neno la kiswahili sanifu!
Nani amekuja na hiyo kauli ya kwamba "wanahatarisha amani?" Au ni wale mataga wanaotaga?
 
"Mwendazake", ni neno la kiswahili sanifu kitumikacho maeneo ya Lamu, na Mombasa. Neno hili ni tafsiri ya neno la kiingereza " Deceased",likiwa na maana ya "aliyekufa", au marehemu.
Hakuna udhalilishaji wowote katika kutuma neno hili. Tujifunze kiswahili ndugu zangu, tutaonekana kuwa ni watu wa kushangza.
Hata mimi ndivyo ninavyojua kua wenzetu kenya hawatumii neno marehemu kama sisi wao wanatumia sana mwendazake. Maana ni moja ila tu kulingana na maeneo tumetofautiana baadhi ya maneno, hata kenya ukisema marehemu wanakuelewa vizuri tu ila wao hawalitumii mara kwa mara hilo neno, sasa bongo ukisema mwendazake eti si sawa aiseee.
 
Hili jina Konki ni la kabila gani na Lima maana gani kwa kabila Hilo?
 
Sijaona tatizo mwendazake neno zuri tu la kiswahili likimaanisha...marehemu acheni complication kwenye kila kitu...kila kitu ni siasa kwa baadhi yetu ptuuuu...complication everywhere in everything acheni bhana
 
LOGIC:

"Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani."

1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani?

2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani?

3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa dini, wataanzisha tafrani ya kuvunja amani kama reaction ya kumtetea marehemu?

4. Au ukisema tu "Mwendazake" basi nchi inapata kisulisuli cha asili; vita, majanga na mapigano yanazuka automatically?

USHAURI; Viongozi wa Dini wasome shule kabla ya kuvaa nguo za heshima na misalaba shingoni.

Wanahusika kupotosha hata neno la kiswahili sanifu!
Wa kwenda shule ni weye!
neno 'mwenda zake' kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili ni marehemu aliyefariki hivi karibuni na mwili wake unafanyiwa maandalizi ya kuzikwa.
Matumizi ya neno hilo baada ya maziko ni kejeli, utovu wa heshima na ni kinyume na maadili na utamaduni wa nchi yetu na imani za dini zote kuu.
Tunahimizwa tuwakumbuke na kuwataja marehemu wetu kwa mazuri waliyoyafanya wakati wa uhai wao, na si vinginevyo!
 
LOGIC:

"Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani."

1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani?

2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani?

3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa dini, wataanzisha tafrani ya kuvunja amani kama reaction ya kumtetea marehemu?

4. Au ukisema tu "Mwendazake" basi nchi inapata kisulisuli cha asili; vita, majanga na mapigano yanazuka automatically?

USHAURI; Viongozi wa Dini wasome shule kabla ya kuvaa nguo za heshima na misalaba shingoni.

Wanahusika kupotosha hata neno la kiswahili sanifu!
Kwani Mwendazake mwenyewe ninasemaje? . Si wangeniuliza kwanza
 
TBC imembatiza jina la bwana Hamnazo
 
Huyu 'asikofu'anatafuta umaarufu kwa gubu la wandanganyika huyu.Hawajui wabongo wamesha fanyia tafsiri hata ya jina lake la konk kuwa eti ni kuku jike au jasho la sehemu kati sehemu ya hajakubwa kuelekea mbeleni
How old are you.? I think you are not better than a minor.Jiondoe jamii forum mdomo unanuka kinyeshi
 
Hao mashekhe ubwabwa na maasikofu waliotoa tamko ambalo linapingana hata na Kamusi wanatakiwa wauawe pumbaf kabisa , yaani kwakua wao walikua wanakulanaye ubwabwa ikulu wabadhani kila mtu anamfagilia, nyambaf tena alitakiwa azikwe kilometa moja ardhini shennzy kabisa
 
Back
Top Bottom