Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Kwani mwendazake yenyewe inasemaje?LOGIC:
"Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani."
1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani?
2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani?
3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa dini, wataanzisha tafrani ya kuvunja amani kama reaction ya kumtetea marehemu?
4. Au ukisema tu "Mwendazake" basi nchi inapata kisulisuli cha asili; vita, majanga na mapigano yanazuka automatically?
USHAURI; Viongozi wa Dini wasome shule kabla ya kuvaa nguo za heshima na misalaba shingoni.
Wanahusika kupotosha hata neno la kiswahili sanifu!