Neno "Mwendazake" na upotoshaji wa kikanuni unaoendelea sasa

Kwani mwendazake yenyewe inasemaje?
 
Naona kuna kenge mlima wamevamia humu ndani,sijui kaja juzi eti nijitoe jf kwani we ndio uliniunganisha!?Pumbafu,halafu unaniliuliza umri,dogo jifunze kuongea na wakubwa.Kumiliki kismartphone si kigezo cha ukubwa boya we
 
Hao ndio viongozi wa dini!!!akili ndogo kama vibaka
 
Tuwasamehe tu kama wao wanavyotuombea msamaha kwa Mungu, mara nyingi hutokea wanadandia magari kwa mbele tena yakiwa kwenye kasi kubwa
 
Msitukana watumishi wa Mungu. waheshimuni watumishi wa Mungu kwani vitabu vinasema Mamlaka yao yanatoka kwa Mungu.
 
Nadhani shida ni mazoea tu, lakini likitumika kwa wote Nyerere, Karume, Osama na hata kwenye makaburi ya baba zenu, halitalalamikiwa tena!!!!
 
mtu timamu kichwani huwa hang'ang'anii jambo.

maana hakuna maslahi yeyote kwenye kutumia jina hilo.
 
Kwa hiyo unamuabudu ?!! Pole sana.
 
Hilo neno lilianzishwa mwanasiasa mmoja machachari kama code tu kumuelezea hayati upande wa negative, ndio likakolea kama moto wa nyika, linatumika tu kama kihusishi code kwa hayati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…