Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
To yeye una kiwewe🤣Yaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini?
Baby nakupenda!
Baby mwenyewe 👇🏽
View attachment 2899305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To yeye una kiwewe🤣Yaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini?
Baby nakupenda!
Baby mwenyewe 👇🏽
View attachment 2899305
Dr. Janabi kanitisha na soda zenyewe. Nimekuwa muumini wa fresh juice na maji.Hongera sana,sasa ukija mbeya utakunywa nini? Fanta Orange?
Ushapigwa wwKwangu hilo ndilo neno ninalopenda kumwambia zaidi kaka mzuri wangu, siwezi kumtumia texts tatu bila kumwambia nampenda.
Same kwake, umegeuka utaratibu wetu na kiukweli ndilo neno napenda kusikia kutoka kwake.
Nyie wenzetu vipi? Asiponiambia ananipenda sina raha.
Bila kuchanganywa chochote kile😜Mie Pepsi 😜
Basi itakuwa mwendo wa passion/mango juice na maji.Yeah au Juice ila isiwe ya parachichi...nguteka ☹️
OK, tuendelee kupendana hakuna namnaKawaida Glenn,just normal
Kipindi gani eti?😁No,ilikuwa kipindi kile sahivi nimetulizwa Glenn
Una moyo uko wazi sana we binti😁Amina,daima...,