Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu

Je, huwa unasumbiri mpaka alowane?? au ukifika unaweka dudu killer yako..
 
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu

Unapaswa kumwandaa mwenzio kisha pima oil kama kei imelainika.
 
Mkuu, nilishawahi kujaribu hiyo makitu matokeo yakr nikanuniwa wiki nzima.
Ndiomana nabaki njia panda

Basi ujue analia utamu, anafrahia game we kazana kutwanga.
 
Unapaswa kumwandaa mwenzio kisha pima oil kama kei imelainika.

mkuu, yote hayo nayafanya ipaswavyo na kwa ustadi mkubwa, likini vinanda huanza baada ya kuingia getini
 
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu

Huyo atakua anaumia kweli bt in da sense ya kukuridhisha anavumilia na ku pretend anafurahia.
 
mimi ilishawahi kunitokea kwa binti fulani hivi majuzi!

katika kumpeleleza, akaniambia kwamba ana mwaka na nusu hajawahi 'kuliwa'..

for sure alikuwa analia serious kama vile anatolewa bikra!
 
Mkuu huyu wakwangu haka kamchezo kapo tangu tunaanza mausiano, na nizaidi ya miezi 5 ilopita. Mwanzoni nilijuwa atakuja kuacha lakini haiwi na mm nshachoka kuskia vilio wakati wa makatiko, maana mzyuka unachelea
 
Yani hujui kama umeanza ku do leo. Watoto bana mkionjeshwa lazima uje useme kila kitu huku.
 
Mkuu huyu wakwangu haka kamchezo kapo tangu tunaanza mausiano, na nizaidi ya miezi 5 ilopita. Mwanzoni nilijuwa atakuja kuacha lakini haiwi na mm nshachoka kuskia vilio wakati wa makatiko, maana mzyuka unachelea

Condom umeacha sasa?
 
Back
Top Bottom