bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
Too personal mbona? Au nimezeeka?

Mkuu, nilishawahi kujaribu hiyo makitu matokeo yakr nikanuniwa wiki nzima.
Ndiomana nabaki njia panda
mkuu, yote hayo nayafanya ipaswavyo na kwa ustadi mkubwa, likini vinanda huanza baada ya kuingia getini
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
Too personal mbona? Au nimezeeka?
Asante kwa kupa uzoefu wako mkuu
mimi ilishawahi kunitokea kwa binti fulani hivi majuzi!
katika kumpeleleza, akaniambia kwamba ana mwaka na nusu hajawahi 'kuliwa'..
for sure alikuwa analia serious kama vile anatolewa bikra!
Mkuu huyu wakwangu haka kamchezo kapo tangu tunaanza mausiano, na nizaidi ya miezi 5 ilopita. Mwanzoni nilijuwa atakuja kuacha lakini haiwi na mm nshachoka kuskia vilio wakati wa makatiko, maana mzyuka unachelea