Neno 'Nyoko' liligeukaje kuwa tusi?

Neno 'Nyoko' liligeukaje kuwa tusi?

Kwa sisi wahehe nikikuambia Nyokogulefu pigana
Nyoho vaho poyoli? = mama yako yupo....

Kwa mimi nijuavyo NYOKO limetokana na neno la kibena NYOHO likimaanisha MAMA, kwangu sio tusi nadhan huo muktadha wa kuwa tusi ulitokea pale lilipo anza kubebeshwa Nomino (jina la kile kiungo cha sirini) mf. K*m*.... Nyoko. Kwa hiyo kutokana na mazoea bas hata liliwa neno tupu bila kubebeshwa huo msamiati nyuma basi huoneka ni tusi....

Nyoko sio tusi, kwa hiyo nikisema ww ni nyoko..... Halafu na ww ukawa ni jinsia ya kike na umezaa basi hupaswi kukasirika.

Kwa mfano nikimwita miss natafuta ni nyoko, kwa mujibu wa lugha yangu nitakuwa sijamtukana
 
Nyoko ni sawa na nina.....nina ni mama pia....kwahyo k...nyoko, k.....nina na k....mamayo ni tusi moja
 
nyoko ni kifupisho cha k...nyoko, ila limekuwa likisemwa/tamkwa kwa ufupi

k...nyoko zako, ndo nyoko zako. sasa kama nyoko ni mama basi k...nyoko ilikuwa kukutukania mama yako/yangu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Uko sahihi hundred percent!!!.Hawa wengine badala ya kuelezea ilikuwaje hili neno likatumika wanaanza kuleta blaa blaa tu!!!!
 
NYOKO(tamka 'niyoko') ni jina la mtoto wa kike kwa Kijapani lina maana ya hazina
 
Back
Top Bottom