Neno “Pambaneni” ni Miongoni mwa Maneno ya Kihuni

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Neno pambana ni neno la mtaani zaidi ambalo sio rasmi hutumika na wahuni kuashiri msirudi nyuma na usikate tamaa

Lakini je watanzania wapambane na Nani kupata katiba mpya ?

nilidhan PhD ingeeleza na hatua za kupambana

Kwamba head of the state anataka katiba mpya , hivyo watu wapambane.... je tunapambania katiba kwa kuwa samia anataka au kwa kuwa ni haki ya mtanzania ?

Samia is over 60 years , can she determine the future of our generation ?

Wakati Samia anapitishwa kimadhuluma pale dodoma , Nchimbi alikuwa Katibu na alisema kama mtu hatoshiriki uchaguzi kwa maana ya Chadema hiyo ni shauri yake hatutomlazimisha ; bado utamuamini huyu mtu ?

Nchimbi is a Scam na sheria ya walimungwe ni ile ile , matatizo hayawezi kutatuliwa na watu waliyoyaumba hayo matatizo never

MwanaCCM atakae ifurahia katiba ni yule ambae ameshakufa tu, tofauti na hapo ni UTAPELI : SCAM , run the other way !

KATIBA mpya watanzania mtaipata lakini sio kwa kutoka CCM ....mtaipata KATIBa Mpya over bloodbath … some people itawalazimu kuondoka to leave the lesson behind, na hii ni kwa sababu CCM wamegoma KUSIKILIZA na wamegoma kuamini kwamba GENERATION has changed , na Generation ya sasa sio Generation ya drama drama kama ilivyozoeleka
( Hili ndio eneo ambalo CCM’ fails to
Understand )

Dr Megalodon Mushi
Canada 🇨🇦
 
Wajinga ndio waliwao bongo hakiri kisoda watu wanataka wampe urais 2030 kwa kauli yake hiyo
 
Mpaka kaliona na kashindwa kutekeleza ni kwamba HAFAI

Kesho sio ajabu atataka watu wapambanie kupata maji ya kunywa na yeye yupo pale

Mtu legelege kifikra sampuli hii ni janga

Sijui kwanini. ila wa TZ wanapenda sana njia ya ulaghai.. na inazoewa kwakuwa ina matokeo kwenye nyanja nyingi

Ila ni jibu kuwa Matahira ni wengi sana
 
Kulingana na muktadha na hotuba ya waandaa event, alikuwa sahihi kusema alichosema. Maana ndiyo ilikuwa main theme ya waandaa hiyo event.
 
Neno pambana ni neno la mtaani zaidi ambalo sio rasmi hutumika na wahuni kuashiri msirudi nyuma na usikate tamaa

Lakini je watanzania wapambane na Nani kupata katiba mpya ?

nilidhan PhD ingeeleza na hatua za kupambana

Kwamba head of the state anataka katiba mpya , hivyo watu wapambane.... je tunapambania katiba kwa kuwa samia anataka au kwa kuwa ni haki ya mtanzania ?

Samia is over 60 years , can she determine the future of our generation ?

Wakati Samia anapitishwa kimadhuluma pale dodoma , Nchimbi alikuwa Katibu na alisema kama mtu hatoshiriki uchaguzi kwa maana ya Chadema hiyo ni shauri yake hatutomlazimisha ; bado utamuamini huyu mtu ?

Nchimbi is a Scam na sheria ya walimungwe ni ile ile , matatizo hayawezi kutatuliwa na watu waliyoyaumba hayo matatizo never

MwanaCCM atakae ifurahia katiba ni yule ambae ameshakufa tu, tofauti na hapo ni UTAPELI : SCAM , run the other way !

KATIBA mpya watanzania mtaipata lakini sio kwa kutoka CCM ....mtaipata KATIBa Mpya over bloodbath … some people itawalazimu kuondoka to leave the lesson behind, na hii ni kwa sababu CCM wamegoma KUSIKILIZA na wamegoma kuamini kwamba GENERATION has changed , na Generation ya sasa sio Generation ya drama drama kama ilivyozoeleka
( Hili ndio eneo ambalo CCM’ fails to
Understand )

Dr Megalodon Mushi
Canada 🇨🇦
Nabii haheshimiki nyumbani kwao!
Screenshot 2026-07-26 at 02.39.53.png
 
Back
Top Bottom