Duh mbona ilishasemwa huku JF longtime! Btw sioni tatizo kuiga! Lakini pia unaweza kupata wazo ukalitumia bila kujali kama tayari lipo sehemu nyingine ya dunia hii!
Hawa jamaa wa Clouds ni wababaishaji sana ,huwezi kutegemea ubunifu kwa kukwepa kuajiri watu wenye taaluma ya jambo unalofanya kisha ukafikri kwamba wataweza kuwa waunifu. Uwelewa wa mgt ya clouds ni mdogo sana ,wanaendesha radio kiujanja ujanja ndio maana wapo beneti na chama utafikiri radio ya chamaView attachment 113379View attachment 113380View attachment 113381View attachment 113381View attachment 113382View attachment 113383View attachment 113384
Radio V-103 iliyoanzishwa miaka 25 iliyopita Chicago, Marekani inatumia The Peoples station kama Clouds fm. Any coincidence?
Link hii hapa: V103 - TODAY'S R&B & OLD SCHOOL: CHICAGO
Mawazo, meaning ni "ideas" ni nyingi, kama " location" yako " opportunity" haijatumika ni ruhusa kwa " entrepreneur" yeyote kuitumia, what is in the market is worthy, regarding whatever.Si hilo tu wanakopi vitu vingi mpaka wazo la kipindi na kuongea watangazaji wake
sijakupata kakaFID Q Kwenye Nyimbo yake ya MWANZA MWANZA alianza kuweka ule mwimbo wa kampuni ya 20 century fox ya filamu nikawaza na kusema iwapo 20 century fox wenyewe wakisikia wakiamua kumfungulia kesi yeye na majani wake
nikawa sipati picha