Neno "THE PEOPLE'S STATION" limeibwa huku.

Neno "THE PEOPLE'S STATION" limeibwa huku.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
vlcsnap-2013-09-17-09h31m13s174.pngvlcsnap-2013-09-17-09h47m23s139.pngvlcsnap-2013-09-17-09h31m00s38.pngvlcsnap-2013-09-17-09h31m00s38.pngvlcsnap-2013-09-17-09h31m33s133.pngvlcsnap-2013-09-17-09h32m03s162.pngvlcsnap-2013-09-17-09h30m43s46.png

Radio V-103 iliyoanzishwa miaka 25 iliyopita Chicago, Marekani inatumia The Peoples station kama Clouds fm. Any coincidence?
Link hii hapa: V103 - TODAY'S R&B & OLD SCHOOL: CHICAGO
 
Kwa umri ulioutaja wa miaka 25 ni wazi
Radio Mawingu wamekopi & kupesti.
 
hata kile kibwagizo cha nomaaa sanaa hua sielewagi kama ni clouds fm au magic ndio mmiliki halali
 
Duh mbona ilishasemwa huku JF longtime! Btw sioni tatizo kuiga! Lakini pia unaweza kupata wazo ukalitumia bila kujali kama tayari lipo sehemu nyingine ya dunia hii!
 
Duh mbona ilishasemwa huku JF longtime! Btw sioni tatizo kuiga! Lakini pia unaweza kupata wazo ukalitumia bila kujali kama tayari lipo sehemu nyingine ya dunia hii!

wengine tumejiunga JF juzi juzi.....sio rahisi kujua yoteeee
 
View attachment 113379View attachment 113380View attachment 113381View attachment 113381View attachment 113382View attachment 113383View attachment 113384

Radio V-103 iliyoanzishwa miaka 25 iliyopita Chicago, Marekani inatumia The Peoples station kama Clouds fm. Any coincidence?
Link hii hapa: V103 - TODAY'S R&B & OLD SCHOOL: CHICAGO
Hawa jamaa wa Clouds ni wababaishaji sana ,huwezi kutegemea ubunifu kwa kukwepa kuajiri watu wenye taaluma ya jambo unalofanya kisha ukafikri kwamba wataweza kuwa waunifu. Uwelewa wa mgt ya clouds ni mdogo sana ,wanaendesha radio kiujanja ujanja ndio maana wapo beneti na chama utafikiri radio ya chama
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Si hilo tu wanakopi vitu vingi mpaka wazo la kipindi na kuongea watangazaji wake
 
Si hilo tu wanakopi vitu vingi mpaka wazo la kipindi na kuongea watangazaji wake
Mawazo, meaning ni "ideas" ni nyingi, kama " location" yako " opportunity" haijatumika ni ruhusa kwa " entrepreneur" yeyote kuitumia, what is in the market is worthy, regarding whatever.
 
FID Q Kwenye Nyimbo yake ya MWANZA MWANZA alianza kuweka ule mwimbo wa kampuni ya 20 century fox ya filamu nikawaza na kusema iwapo 20 century fox wenyewe wakisikia wakiamua kumfungulia kesi yeye na majani wake
nikawa sipati picha
 
sijakupata kaka
 
Back
Top Bottom