Neno "tia" linatakiwa litumike wapi katika Kiswahili fasaha?

Mtoa mada umesahau na kule visiwani neno "tia" wanalitumia hadi kwenye Daladala, konda akitaja kituo kama kuna abiria anashuka anasema "tia" au "weka", na siyo "shusha" kama ilivyozoeleka huku bara πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Aisee
 
Muktadha hubadilika kutokana na mazingira.
Ukiwa na mlimbwende chumbani mkiwa watupu ukaambiwa utie halafu ukatia chumvi basi utakuwa hamnazo.
 
Madhala ya Kulawitiwa ni makubwa SanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Linda Mwanao na hakikisha nyumba yake ina fesi imara kama simba dangoteee
 
Ni gharama Sana kujifunza lugha Ghana ina chuo maalum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Madhala ya Kulawitiwa ni makubwa SanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Linda Mwanao na hakikisha nyumba yake ina fesi imara kama simba dangoteee
 
tia

(i) ingiza kitu ndani ya kitu kingine
(ii) fanya kitu kiwe na sifa fulani
 
Mtia nia kupitia chama cha ukombozi wa Tanzania Capo delgado.
 
unatumika pale unapotia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…