rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aiseee noma sanaKumchukia mwenye akili haku ufuti ujinga wako...[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee noma sanaKumchukia mwenye akili haku ufuti ujinga wako...[emoji23]
So sad! Sikumuoa na mpaka mzee anafariki Hakujua nimeoa mke Yupi..
Nashukuru Nilimpa Mzee Jibu Aliridhia,Nilimwambia Baba Kwa Sasa Sijawa Tayari Ingawa nina Kazi na Kila kitu ila bado.Asee! Pole, lkn yote kwa yote n kumuomba Mungu akupe ndoa yny amn na utulivu. Ili usjute kwann hukumuoa yule uliyeambiwa na baba enz za uhai wake.
Ingawa magomv yapo ndoani lkn muombe Mungu isfke hatua ukajuta......
Me nakumbuka neno kutoka kwa sister angu......." Sio lazima upate kila kitu hapa duniani. Kuna vingine Mungu anakunyima kwa sababu"
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mbona kama hayaeleweki au Mimi ndo nachanganyaNakumbuka mama alinambia hivi. VYAKO VYAKO NA WENZAKO, UKIVIPATA VYAKO PEKE AKO. kuna kesi ilitokezea kipindi nasoma na mama angu ni mwalimu wa hiyo skuli, ayo maneno mpaka leo yamo kichwani na nakua makini sana nnaposhirikiana na mtu kwenye ishu yoyote ile