Neno underdog kwa Simba: Shaffih Dauda alishambuliwa bure

Shafii mchambuzi uchwara aliabishwa na simba. Aliitabiria mabaya na kuhamasisha watu waikatie tamaa mwisho wa siku timu ikatinga robo fainali.
 
Ulichokomenti na alichoandika Dauda ni tofauti.Unawaambia watu ni underdogs, sawa.Lakini kulikuwa na bezo kwamba wangemaliza wa mwisho na ile raundi wasingevuka.

Exactly kulikuwa na uwezekano mdogo sana wa kupita na ndo maana simba ikawa termed as underdog rejea mfano wangu hapo juu wa ajax

Ajax walikuwa na nafasi finyu sana ya kusonga mbele thus why

Haya mtaga yule shabiki andazi pale juu
 
Exactly kulikuwa na uwezekano mdogo sana wa kupita na ndo maana simba ikawa termed as underdog rejea mfano wangu hapo juu wa ajax
Ajax walikuwa na nafasi finyu sana ya kusonga mbele thus why
Haya mtaga yule shabiki andazi pale juu
Tatizo huwa mnawaza negativities tu.Sasa watu mliowasimanga kwamba si lolote halafu wanaku-prove wrong utawazuiaje wasikuzomee?Kama nchi,klabu zetu zinapoelekea kucheza na klabu za nje tunapaswa kuchambua kwa nia ya kujenga.Na wala si kuweka mabezo hadi yanageuka siyo kukosoa bali ni matusi na maudhi.Refer;Uholanzi inavyoisaidia Ajax kujiandaa na Uefa hadi ligi yao imesimama ili wawe wamoja.Tujifunze.Ushabiki bazoka tuache.
 
kuwa underdog hakukuzuii kufuzu robo fainali mwana mbumbumbu fc
 
Uko sahihi kabisa mkuu lazima tufanye uchambuzi wa kuzitia moyo timu zetu zinapowakilisha nchi.

Alichofanya Shafii ni kuvunja mioyo washabiki na mbaya sana wachezaji kuamini kwamba hawatofika kokote

Na hili ndio jambo ambalo sisi watu wa soka tunasema kwamba hakua na nia njema na timu yetu. Ashukuriwe Mungu muweza.
 
Kama huoni tofauti basi huna akili.

Alisema Simba ni andadogi hawezi kufuzu robo fainali ikawa kinyume Simba akafuzu.

Spurs ni andadogi kweli Kwa Ajax na hawezi kuvuka hii hatua.
 
Kama huoni tofauti basi huna akili.

Alisema Simba ni andadogi hawezi kufuzu robo fainali ikawa kinyume Simba akafuzu.

Spurs ni andadogi kweli Kwa Ajax na hawezi kuvuka hii hatua.
Nadhani umeongozwa na hisia zaidi kuandika ulivyoandika. Na hii inonesha kwa huna ufahamu wowote wa dhana nzima ya "underdog." Jisomee kijana upate uelewa wa mambo halafu ndio uje uchangie. "Underdog" ni mshindani yeyote anayepewa nafasi finyu ya kushinda, lakini hii haiondoi uwezekano kwamba underdog anaweza kushinda vilevile. Mfano kama wewe unafuatilia mpira wa UK, timu ya Leicester ni miongoni mwa underdogs wengi tu wa league. Hakuna hata mtu mmoja ambaye angeidhania kuchukua ubingwa wa UK mbele ya vijeba kama Manchester, Mancity, Liverpool, Arsenal, Chelsea na Tottenham. Lakini kwa mshangao wa wengi ilichukua ubingwa ule. Sasa hii haijaiondolea dhana ya kuwa ni miongoni mwa underdogs linapokuja suala la kupigania ubingwa. Kama hujaelewa kwa ufafanuzi huu, basi itabidi tutafute shule zote ulizosoma kujua tatizo liko wapi.
 
Alichemka,kwasababu alichosema ni kwamba "kwenye hili kundi Simba ni underdog" na Simba wakafuzu
 
Shida sio kuiita underdog. Ila alitudhihaki..
 

Negativity? Una akili kweli wewe?

Yaani mtu kumwambia anauwezo mdogo kuliko fulani ni negativity?

Ulitaka SIMBA waambiwe ni timu bora inaweza kushinda sio,

Yaani ulitaka simba aonekane mbabe mbele ya zile timu kwenye kundi lake eti,

Mwenyewe unaweza kuona upitaji wa simba ulivyokuwa yeye anshinda moja huku halafu wahuni wanamshindilia tano huoni tofauti hapo

Wabongo bhana.
 
Yaani wewe unavyote hivyo, anaweza kukusaidia kuutoa ujinga wako ila upumbavu wako hawezi maana ni kipaji kama vile cha messi.
Duh,ujinga na upumbavu tena????

Hivi huko shule mnajifunza nini??
 
Vitu ni vingi vinaangaliwa hadi kuitaUnderdog kwa timu za mpira. Kigezo mojawapo ni uwekezaji uliofanyika baina ya timu husika, Brand na umaarufu baina ya timu husika,viwango vya soka baina ya nchi zinakotoka timu husika, mafanikio ya timu na nchi kisoka baina ya timu husika, ubora na matokeo ya timu ktk nyakati zilizopo n.k. ukiangalia hayo na mengineyo utagundua Simba walikuwa ni underdog waliowashangaza wengi. Ndio mana hata wao wenyewe wanasema malengo yao yalikuwa ni kuishia ktk makundi tu ili hali sidhani kama Soura, Mazembe na Al Ahly ndiyo yalikuwa malengo yao
 

Teh teh teh teh
 
alisema kundi lile simba ndio underdog, hayo ya kuingia robo fainali ni mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…