Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Roho zinawakereketa kama mmebugiaa korosho za moto!Na mtakoma leo tena Simba imenunua mechi.underdog
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho zinawakereketa kama mmebugiaa korosho za moto!Na mtakoma leo tena Simba imenunua mechi.underdog
Mgayaluhala yule.Shafii mchambuzi uchwara aliabishwa na simba. Aliitabiria mabaya na kuhamasisha watu waikatie tamaa mwisho wa siku timu ikatinga robo fainali.
Ulichokomenti na alichoandika Dauda ni tofauti.Unawaambia watu ni underdogs, sawa.Lakini kulikuwa na bezo kwamba wangemaliza wa mwisho na ile raundi wasingevuka.
Tatizo huwa mnawaza negativities tu.Sasa watu mliowasimanga kwamba si lolote halafu wanaku-prove wrong utawazuiaje wasikuzomee?Kama nchi,klabu zetu zinapoelekea kucheza na klabu za nje tunapaswa kuchambua kwa nia ya kujenga.Na wala si kuweka mabezo hadi yanageuka siyo kukosoa bali ni matusi na maudhi.Refer;Uholanzi inavyoisaidia Ajax kujiandaa na Uefa hadi ligi yao imesimama ili wawe wamoja.Tujifunze.Ushabiki bazoka tuache.Exactly kulikuwa na uwezekano mdogo sana wa kupita na ndo maana simba ikawa termed as underdog rejea mfano wangu hapo juu wa ajax
Ajax walikuwa na nafasi finyu sana ya kusonga mbele thus why
Haya mtaga yule shabiki andazi pale juu
kuwa underdog hakukuzuii kufuzu robo fainali mwana mbumbumbu fcWapinzani wa huo msemo ndio waliokuwa sahihi kwa kuwa hadi mzunguko unakwisha underdog hakuwa yeye,simba alifuzu,angesema simba ni underdog kwa mazembe angekuwa sahihi,yeye alideclare kabisa kuwa ktk kundi lile atakuwa wa mwisho,na haikuwa hivyo,hivyo alichemka
Uko sahihi kabisa mkuu lazima tufanye uchambuzi wa kuzitia moyo timu zetu zinapowakilisha nchi.Tatizo huwa mnawaza negativities tu.Sasa watu mliowasimanga kwamba si lolote halafu wanaku-prove wrong utawazuiaje wasikuzomee?Kama nchi,klabu zetu zinapoelekea kucheza na klabu za nje tunapaswa kuchambua kwa nia ya kujenga.Na wala si kuweka mabezo hadi yanageuka siyo kukosoa bali ni matusi na maudhi.Refer;Uholanzi inavyoisaidia Ajax kujiandaa na Uefa hadi ligi yao imesimama ili wawe wamoja.Tujifunze.Ushabiki bazoka tuache.
kuwa underdog hakukuzuii kufuzu robo fainali mwana mbumbumbu fc
Kama huoni tofauti basi huna akili.Ndugu wadau, kwa nini tulimshambulia sana Shafii wakati akitoa maoni yake kuhusu Simba kushiriki club bingwa CAF? Je ni kutoiva kimpira au ni unazi tu? Hebu msomeni Van Persie halafu mje na maoni yenu.
"Former Arsenal forward Robin van Persie believes Tottenham will be the underdogs in their Champions League semi-final clash with Ajax.The Dutch side are currently on track to take their 34th Eredivisie title, and their accomplishments in Europe’s top club competition this season have been momentous after knocking out reigning champions Real Madrid and Juventus in back-to-back rounds. The only slip-up that Ajax have encountered this season was their 6-2 home loss to Feyenoord, but this was avenged when they knocked the Rotterdam side out of the KNVB Cup with a 3-0 win"( Van Persie).
Aliyefungwa Mara nyingi toka hivi vilabu kuanzishwa ndiyo underdogShughuli ipo simba akicheza na yanga nani "underdog"
Nadhani umeongozwa na hisia zaidi kuandika ulivyoandika. Na hii inonesha kwa huna ufahamu wowote wa dhana nzima ya "underdog." Jisomee kijana upate uelewa wa mambo halafu ndio uje uchangie. "Underdog" ni mshindani yeyote anayepewa nafasi finyu ya kushinda, lakini hii haiondoi uwezekano kwamba underdog anaweza kushinda vilevile. Mfano kama wewe unafuatilia mpira wa UK, timu ya Leicester ni miongoni mwa underdogs wengi tu wa league. Hakuna hata mtu mmoja ambaye angeidhania kuchukua ubingwa wa UK mbele ya vijeba kama Manchester, Mancity, Liverpool, Arsenal, Chelsea na Tottenham. Lakini kwa mshangao wa wengi ilichukua ubingwa ule. Sasa hii haijaiondolea dhana ya kuwa ni miongoni mwa underdogs linapokuja suala la kupigania ubingwa. Kama hujaelewa kwa ufafanuzi huu, basi itabidi tutafute shule zote ulizosoma kujua tatizo liko wapi.Kama huoni tofauti basi huna akili.
Alisema Simba ni andadogi hawezi kufuzu robo fainali ikawa kinyume Simba akafuzu.
Spurs ni andadogi kweli Kwa Ajax na hawezi kuvuka hii hatua.
Alichemka,kwasababu alichosema ni kwamba "kwenye hili kundi Simba ni underdog" na Simba wakafuzuWapinzani wa huo msemo ndio waliokuwa sahihi kwa kuwa hadi mzunguko unakwisha underdog hakuwa yeye,simba alifuzu,angesema simba ni underdog kwa mazembe angekuwa sahihi,yeye alideclare kabisa kuwa ktk kundi lile atakuwa wa mwisho,na haikuwa hivyo,hivyo alichemka
Alichemka,kwasababu alichosema ni kwamba "kwenye hili kundi Simba ni underdog" na Simba wakafuzu
Tatizo huwa mnawaza negativities tu.Sasa watu mliowasimanga kwamba si lolote halafu wanaku-prove wrong utawazuiaje wasikuzomee?Kama nchi,klabu zetu zinapoelekea kucheza na klabu za nje tunapaswa kuchambua kwa nia ya kujenga.Na wala si kuweka mabezo hadi yanageuka siyo kukosoa bali ni matusi na maudhi.Refer;Uholanzi inavyoisaidia Ajax kujiandaa na Uefa hadi ligi yao imesimama ili wawe wamoja.Tujifunze.Ushabiki bazoka tuache.
Duh,ujinga na upumbavu tena????
Hivi huko shule mnajifunza nini??
Vitu ni vingi vinaangaliwa hadi kuitaUnderdog kwa timu za mpira. Kigezo mojawapo ni uwekezaji uliofanyika baina ya timu husika, Brand na umaarufu baina ya timu husika,viwango vya soka baina ya nchi zinakotoka timu husika, mafanikio ya timu na nchi kisoka baina ya timu husika, ubora na matokeo ya timu ktk nyakati zilizopo n.k. ukiangalia hayo na mengineyo utagundua Simba walikuwa ni underdog waliowashangaza wengi. Ndio mana hata wao wenyewe wanasema malengo yao yalikuwa ni kuishia ktk makundi tu ili hali sidhani kama Soura, Mazembe na Al Ahly ndiyo yalikuwa malengo yaoWapinzani wa huo msemo ndio waliokuwa sahihi kwa kuwa hadi mzunguko unakwisha underdog hakuwa yeye,simba alifuzu,angesema simba ni underdog kwa mazembe angekuwa sahihi,yeye alideclare kabisa kuwa ktk kundi lile atakuwa wa mwisho,na haikuwa hivyo,hivyo alichemka
Vitu ni vingi vinaangaliwa hadi kuitaUnderdog kwa timu za mpira. Kigezo mojawapo ni uwekezaji uliofanyika baina ya timu husika, Brand na umaarufu baina ya timu husika,viwango vya soka baina ya nchi zinakotoka timu husika, mafanikio ya timu na nchi kisoka baina ya timu husika, ubora na matokeo ya timu ktk nyakati zilizopo n.k. ukiangalia hayo na mengineyo utagundua Simba walikuwa ni underdog waliowashangaza wengi. Ndio mana hata wao wenyewe wanasema malengo yao yalikuwa ni kuishia ktk makundi tu ili hali sidhani kama Soura, Mazembe na Al Ahly ndiyo yalikuwa malengo yao
Yaani wewe unavyote hivyo, anaweza kukusaidia kuutoa ujinga wako ila upumbavu wako hawezi maana ni kipaji kama vile cha messi.
alisema kundi lile simba ndio underdog, hayo ya kuingia robo fainali ni mengineWapinzani wa huo msemo ndio waliokuwa sahihi kwa kuwa hadi mzunguko unakwisha underdog hakuwa yeye,simba alifuzu,angesema simba ni underdog kwa mazembe angekuwa sahihi,yeye alideclare kabisa kuwa ktk kundi lile atakuwa wa mwisho,na haikuwa hivyo,hivyo alichemka