alisema kundi lile simba ndio underdog, hayo ya kuingia robo fainali ni mengine
Alichemka,kwasababu alichosema ni kwamba "kwenye hili kundi Simba ni underdog" na Simba wakafuzu
Kwani hazikuchukua point na magoli hamsahamsa juu.Kua underdog sio shida...ila tatizo alijihakikishia kwamba team zote zitakua zinajichukulia points simba na simba itapata points 0....
Wakati mpira hauko hivyo ni underdog ila simba ikipambana inaweza vuna points hayo ndio maneno ya mtu anaye jua mpira coz mpira unagongwa na team yoyote kama ukipambana...
Ndugu, kuwa underdog haimaanishi kuwa club haiwezi kushida. Maana yake ni kwamba inapewa nafasi ndogo kwa kulinganisha na club nyinginezo.