Neno underdog kwa Simba: Shaffih Dauda alishambuliwa bure

Neno underdog kwa Simba: Shaffih Dauda alishambuliwa bure

alisema kundi lile simba ndio underdog, hayo ya kuingia robo fainali ni mengine

Nashangaa mkuu wapuuzi wengine wanaoniquote wanaoandika upuuzi bila kujua huyo Dauda alisema nn ktk maelezo yake ya awali
 
Kua underdog sio shida...ila tatizo alijihakikishia kwamba team zote zitakua zinajichukulia points simba na simba itapata points 0....

Wakati mpira hauko hivyo ni underdog ila simba ikipambana inaweza vuna points hayo ndio maneno ya mtu anaye jua mpira coz mpira unagongwa na team yoyote kama ukipambana...
 
Alichemka,kwasababu alichosema ni kwamba "kwenye hili kundi Simba ni underdog" na Simba wakafuzu

Duh, kuna watu ambao sitegemei hili swala la underdog liwashangaze, ila kama ndiyo hivyo basi kuna tatizo mahali.

Simba alikuwa underdog kwenye lile kundi, hata leo ukimweka kwenye kundi lile lile atakuwa yeye ndiye underdog.

Kupitia hakumfutii fact ya kwamba alikuwa underdog.
 
Kua underdog sio shida...ila tatizo alijihakikishia kwamba team zote zitakua zinajichukulia points simba na simba itapata points 0....

Wakati mpira hauko hivyo ni underdog ila simba ikipambana inaweza vuna points hayo ndio maneno ya mtu anaye jua mpira coz mpira unagongwa na team yoyote kama ukipambana...
Kwani hazikuchukua point na magoli hamsahamsa juu.
 
Ndugu, kuwa underdog haimaanishi kuwa club haiwezi kushida. Maana yake ni kwamba inapewa nafasi ndogo kwa kulinganisha na club nyinginezo.

bora umemwambia maana, nayeye inaonekana ni wale wale
 
Back
Top Bottom