Neno underdog kwa Simba: Shaffih Dauda alishambuliwa bure

Maelau

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,366
Reaction score
1,342
Ndugu wadau, kwa nini tulimshambulia sana Shafii wakati akitoa maoni yake kuhusu Simba kushiriki club bingwa CAF? Je ni kutoiva kimpira au ni unazi tu? Hebu msomeni Van Persie halafu mje na maoni yenu.

"Former Arsenal forward Robin van Persie believes Tottenham will be the underdogs in their Champions League semi-final clash with Ajax.The Dutch side are currently on track to take their 34th Eredivisie title, and their accomplishments in Europe’s top club competition this season have been momentous after knocking out reigning champions Real Madrid and Juventus in back-to-back rounds. The only slip-up that Ajax have encountered this season was their 6-2 home loss to Feyenoord, but this was avenged when they knocked the Rotterdam side out of the KNVB Cup with a 3-0 win"( Van Persie).
 
Tatizo lipo kwa wabongo kujua nini maana ya neno underdog!! Hususani kwenye mpira, Leicester city mwaka ule licha ya kuchukua ubingwa wa epl, bado alikuwa ni underdog, na hata leo acheze na man city bado ataitwa hivyo!!! Simba/yanga acheze na Seville bado utaitwa ni underdog tu!!!
 
Wapinzani wa huo msemo ndio waliokuwa sahihi kwa kuwa hadi mzunguko unakwisha underdog hakuwa yeye,simba alifuzu,angesema simba ni underdog kwa mazembe angekuwa sahihi,yeye alideclare kabisa kuwa ktk kundi lile atakuwa wa mwisho,na haikuwa hivyo,hivyo alichemka
 
Ndugu, kuwa underdog haimaanishi kuwa club haiwezi kushida. Maana yake ni kwamba inapewa nafasi ndogo kwa kulinganisha na club nyinginezo.
 
Usiwe mjinga na mnazi wa kipumbavu

Kuwa underdog haimaanishi hauwezi kushinda kumbuka muamuzi wa mpira ni dakika 90

Hivi miezi miwili iliyopita ukipanga ajax real madrid na juventus nan angekuwa underdog

Mtu akisema timu fulani ni undergo maana yake wameangalia takwimu kati ya timu hizo mbili

Sasa kundi la simba karibu timu zote zimebeba hilo kombe wakati simba ndo kwanza robo fainali mnashingilia mpaka mnataka kuuana hapo nan atakuwa underdog.
 
Ulichokomenti na alichoandika Dauda ni tofauti.Unawaambia watu ni underdogs, sawa.Lakini kulikuwa na bezo kwamba wangemaliza wa mwisho na ile raundi wasingevuka.
 
Usiwe mjinga na mnazi wa kipumbavu

Kuwa underdog haimaanishi hauwezi kushinda kumbuka muamuzi wa mpira ni dakika 90

Hivi miezi miwili iliyopita ukipanga ajax real madrid na juventus nan angekuwa underdog

Mtu akisema timu fulani ni undergo maana yake wameangalia takwimu kati ya timu hizo mbili

Sasa kundi la simba karibu timu zote zimebeba hilo kombe wakati simba ndo kwanza robo fainali mnashingilia mpaka mnataka kuuana hapo nan atakuwa underdog.

Duh,ujinga na upumbavu tena????

Hivi huko shule mnajifunza nini??
 
Ndugu, kuwa underdog haimaanishi kuwa club haiwezi kushida. Maana yake ni kwamba inapewa nafasi ndogo kwa kulinganisha na club nyinginezo.

Upo kwenye right track,sasa ikiwa kinyume chake je kwa nn aliyeipa u-underdog hyo timu naye asibezwe??
 
Hahaha! Yaani wewe umenifanya nicheke sana. Inaelekea wewe ni mnazi wa simba haswa. Au wewe ni Haji? Hahaha!
 
Wapinzani wa huo msemo ndio waliokuwa sahihi kwa kuwa hadi mzunguko unakwisha underdog hakuwa yeye,simba alifuzu,angesema simba ni underdog kwa mazembe angekuwa sahihi,yeye alideclare kabisa kuwa ktk kundi lile atakuwa wa mwisho,na haikuwa hivyo,hivyo alichemka
Mmmmh???? Haji Manara in action.
 
Hahaha! Yaani wewe umenifanya nicheke sana. Inaelekea wewe ni mnazi wa simba haswa. Au wewe ni Haji? Hahaha!

Hapana mkuu,inaonekana ikiwa kinyume chake na watu wakitoa maoni kuna watu wanateseka sana
 
Back
Top Bottom