Have Fun
Member
- Aug 24, 2024
- 92
- 159
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanadamu kutekwa.. Ile neno kutekwa ni Gumu sana kujua maana yake na kutamkwa, lilikujaje, na lilikubaliwa vipi kutumika kwenye jamii, walitumia njia gani?
Maana JF, Vyombo vya Habari ndani na nje ya nchi, Bunge, Vyama vya Siasa, Mahakama, Jeshi, Serikali, Bar, Usalama wa Taifa, Kumbi za Starehe zinazungumzia neno kutekwa..
Ukiwa kama JF wakati neno kutekwa linakubaliwa kutumika upi ulikuwa ushiriki wako.
Kesho hapo unaweza kukuta unatekwa wewe