Neno Utopolo liingizwe rasmi kwenye kamusi ya Kiswahili

Neno Utopolo liingizwe rasmi kwenye kamusi ya Kiswahili

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Neno utopolo limekua maarufu Sana kwa siku za hivi karibuni likimaanisha kitu kisicho imara(dhaifu).
Wengine wameenda mbali zaidi kwa kuibatiza club ya yanga jina Hilo.

Napendekeza neno utopolo liingizwe rasmi kwenye kamusi ya kiswahili likimaanisha udhaifu/yanga.
 
Back
Top Bottom