Neno Yatima halina Wingi. Kutumia neno Mayatima ni udhalilishaji

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Mawaidha ya leo kwenye moja ya misikiti yamenikera sana. Shehe alitumia sana neno mayatima, hili ni neno baya na nimemwambia akaanza kunionesha aya zinazotaja mayatima nikamwambia shehe acha UPUMBAVU hizo aya zimeandikwa na watu kama wewe na hazinabudi kurekebishwa.
 
Mtusamehe tu sisi masheikh ndio lugha tuliozoea hiyo

NB hakuna haja ya kutuita wapumbavu maana ukituelimisha tunaelimika bora hata utuite wajinga
 
Back
Top Bottom