Neno'Mwendazake' halifai

Neno'Mwendazake' halifai

senzighe

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
2,108
Reaction score
1,666
Hemed Kivuyo,acha kabisa kutumia neno 'Mwendazake' katika hali hii ya kuomboleza.Unalitumia peke yako tu,halina ladha wala taadhima katika kipindi hiki.
 
... whichever word(s) you use the truth shall remain intact; the fact shall never change no matter what!
 
Hemed Kivuyo,acha kabisa kutumia neno 'Mwendazake' katika hali hii ya kuomboleza.Unalitumia peke yako tu,halina ladha wala taadhima katika kipindi hiki.
 
Nimekuja huku haraka nikajua kuna faida za kilugha ili nipate faida. Kumbe ni kinyume chake.
 
Back
Top Bottom