Nepal yaadhimisha "Siku ya Wanawake"

Nepal yaadhimisha "Siku ya Wanawake"

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Agosti 30, 2022, Kathmandu, Nepal, waumini wanawake wa dini ya kihindu walisherehekea Tamasha la Teej(siku ya wanawake), wakitoa heshima katika Hekalu la Pashupatinath kwa Mungu Shiva huku wakiimba na kucheza ngoma.

Katika baadhi ya maeneo ya Nepal, India na Bangladesh, waumini wanawake wa dini ya Kihindu husherehekea siku ya Teej, wanawake walioolewa hufunga mchana na kuwaombea waume zao maisha marefu, huku wanawake ambao hawajaolewa wakiombea wapate mume maridadi na maisha ya ndoa yenye furaha.

VCG31N1242825112.jpg
 
Nepal sijawai kupaelewa kabisa-,
Watu wanaishi juu ya mawe na milimba Kama mijusi
 
Naipenda sana hiyo nchi kwenda kufanya utalii na kujifunza
Watu wake wanaishi kwenye mazingira ya asili
 
Hongera kwao kwa kuithamini papuchi. Tuendelee kuila kwa kuwa ni tamu
Z
 
Back
Top Bottom