Nepotism ni hatari kuliko hata kirusi

Nepotism ni hatari kuliko hata kirusi

Nepotism, Nepotism! Toa kwanza maana ya hilo neno ndo watu wakuelewe! Umekalia Nepotism, Nepotism!
Elimu ya neno Nepotism itatolewa kwa kipindi cha miaka mitatu,Je upo tayari kupokea Bachelor Degree in Nepotism from Kizimkazi University!!
 
Watu gani wanielewa ambao hawaja elewa ?

Mkuu, ulikuwa unaweka maana tu jambo linaisha. Sio kila mtu yupo na uelewa wa hilo neno.

Hizi ndo tabia kama za wale wanaomini watu wote hawajui katiba hivyo waelimishwa kwanza.

Nepotism kwako ni key word, ni lazima uliwekee maana ili kila mtu akuelewa right away asiende kutafuta maana kwingine.

Naunga mkono kwa hoja jadidi uloitoa.
 
Ukisoma hata vitabu vya "literature" kutoka kwa manguli wa fasihi kama wakina Chinue Achibe,Prof Ngungi nk.Wamezungumzia suala hilo katika kila Kazi zao zote.

Na mbaya zaidi kwa sasa harufu ya udini iko milangoni kwetu,inanuka kiasi inatoa uvundo,hongera sana mleta uzi.
 
Back
Top Bottom