ABTWAHILAKILIMALI
Member
- Jan 10, 2015
- 78
- 27
ABOUT NEPTUNUS / KUHUSU NEPTUNUS COMPANY LTD
Imeandikwa na AKILIMALI,
NEPTUNUS ni pharmaceutical organization iliyoanzishwa mwaka 1989, na mmiliki wake ni tajiri wa kwanza nchini china na ni tajiri wa tisa ulimwenguni kwa ripoti za gazeti la forbes la mwaka 2000,anaitwa bwana Zhang smin,inamasoko ya hisa matatu la kwanza liko shenzin,la pili liko Hongkong na latatu ni New york stock exchange.
Hapo awali NEPTUNUS ndio iliokuwa inasambaza dawa mbali mbali maospitalini na ndio iliyotoa chanjo ya mafua ya ndege mwaka 2000. Bwana Zhang smin ndio mwanaume wa kwanza kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa China lkn pi amekuwa akitoa fungu la kumi la utaajiri wake kuwasaidia watu tofauti ktk majanga mbalimbali,lkn imefikia hatua sasa ameamua kuwasaidia watu wenye ndoto za kufanya vitu vikubwa ktk maisha kupitia biashara.
Bwana Zhang Simin ameamua kuangalia mapungufu ambayo watu wengine au kampuni zingine zimeyafanya yeye akayarekebisha na kuamua kutoa fursa ya biashara lkn ukiangalia mifumo mingi ya biashara humtaka mtu kuanza biashara na mtaji mkubwa sana lkn bwana Zhang simin akaamua kuanzisha mfumo wa biashara ambao ataingia ubia na mfanya biashara yeyote halafu yeye atakuwa anazalisha na kumfikishia mfanyabiashara kwa bei ya kiwandani hivyo kumfanya kila mtu ambae anafikiria kuanzisha biashara au kukuza biashara aweze kufanikisha hilo,mtu yeyote mwenye ndoto za kufanikisha maisha yake anauwezo wa kuingia ubia na NEPTUNUS na akaanza kufanya biashara na bwana huyo.
KARIBU SANA 0752997088