Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hapa sijakuelewa nimekipata kinini sikitumii?Umekipata haikitumii,
Nitakuja kukijutia kinini mkuu?utakuja kukijutia,
Mada mbona haihusiani na swala la kungoja mkuu... Ebu fafanua vizur ulichoandika.sasa unangoja nini?
Ok mkuu.Baina ya Cape, Pretoria na Durban.
Watu wameanza zamani kula hela za wajinga.Duh aiseee
Definition of die tryingHahaha hakujua anachokisema. Watu wanapambana lkn bado wanajikuta wapo pale pale.
πππDefinition of die trying
Hakika mkuu. Jamaa kwa sasa yupo vizuri huko Canada kutokana na mpunga alioanza kuupiga Kaburu.hii ndo maana ya kutumua fursa vizuri
Hatari ya nini mkuu na wakati alitoka nchini salama?Jamaa ana hatari
Fursa hiyo umeipoteza, ningemng'ang'ania mpaka namimi nijue kutibu wajinga, hauoni akina Mwamposa wanavyotengeneza ndululu.Mkuu hapa sijakuelewa nimekipata kinini sikitumii?
Nitakuja kukijutia kinini mkuu?
Mada mbona haihusiani na swala la kungoja mkuu... Ebu fafanua vizur ulichoandika.
Umenifanya nicheke mpaka watu wananishangaa. Ni kweli mkuu, sema inataka ukauzu na roho ngumu because kifo nje nje πππFursa hiyo umeipoteza, ningemng'ang'ania mpaka namimi nijue kutibu wajinga, hauoni akina Mwamposa wanavyotengeneza ndululu.
Kwa maana hiyo, nahisi alikuwa na rafiki yake wa Sumbawanga ambae alikwenda kumfundisha namna ya kupiga hela za wajinga, na yeye akazipiga kweli aisee.Sumbawanga walikuwepo watu kadha wa kadha walikuwa wanapiga hii issue walikuwa wanitwa Propesa..
Walikuwa wakizama south wanarudi vizuri sana. Though Wengi walikufa kwa namna ya ajabu.
Na wengi waliachana na hizo issue ila ziliwatoa sana.
Ajali kazini, unapokwenda kuomba kazi jeshini lazima ujue askari ni chakula cha risasi, unauhakika mshahara wako utaupata mwisho wa mwezi kama utatoboa!Umenifanya nicheke mpaka watu wananishangaa. Ni kweli mkuu, sema inataka ukauzu na roho ngumu because kifo nje nje πππ
Hakika mkuu π€£π€£π€£Ajali kazini, unapokwenda kuomba kazi jeshini lazima ujue askari ni chakula cha risasi, unauhakika mshahara wako utaupata mwisho wa mwezi kama utatoboa!