KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
ApiaMrundi huyo na hawezi Rudi tena kucheza huku maana tayar ni raia wa Australia na keshacheza timu ya taifa ya bijana.
Analilia Taifa Stars aacha Australia?? Utani huo.View attachment 2815046
NESTORY IRANKUNDA, kutoka Wilayani Kasulu, Kigoma, Tanzania mpaka Australia ambapo leo anahitajika na Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani! Ndoto za Nestory Irankunda ni kuitumikia Tanzania kwa kuivaa jezi ya Taifa Stars.
Ni Mwanasoka ambaye ana uwezo na ubora wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, Nestory Irankunda alizaliwa na kulelewa kambi ya Wakimbizi pale mkoani Kigoma! Bahati mbaya sana kijana wetu hajaitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars, anaitumikia klabu ya Adelaide United ya nchini Australia.
Hii ni another talent kubwa mno mno inastahili sana kuiwakilisha bendera ya Tanzania.
Unabisha?Analilia Taifa Stars aacha Australia?? Utani huo.
Haiwezi tokea, wanaochaguaga third world countries ni wale wasio na uhakika huko majuu au hamna kabisa uwezekano.Unabisha?
Wazazi wake ndo wakimbizi.yeye kazaliwa Tanzania kwenye kambi ya wakimbizi.Sometimes tuone aibu.
Ni lini Sheria za Tanzania ziliwatambua wakimbizi na kizazi chao kama Raia wa Tanzania?
Ni raia na unacheza unders za huko, hata ya wakubwa Australia aliitiwa ila hajacheza tu.Kuzaliwa kambi ya Wakimbizi Kigoma hakumuidhinishi yeye kuwa raia wa Tanzania kwanza kwa sasa uenda ni raia wa Austealia
Ndo siyo mTz ujue.Wazazi wake ndo wakimbizi.yeye kazaliwa Tanzania kwenye kambi ya wakimbizi.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mtoto akizaliwa kwenye nchi yoyote ambayo wazazi wake sio wa nchi hyo automatically mtoto anakuwa raia wa nchi husika.ndo maana ukitaka kurudi nchini kwenu inatakiwa umuombee uraia wa kwenu.sababu hakuzaliwa nchini kwenu bali ugeniniNdo siyo mTz ujue.
Katiba ya nchi yako ni tofauti na ya Marekani.Wazazi wake ndo wakimbizi.yeye kazaliwa Tanzania kwenye kambi ya wakimbizi.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
ππ π€£ Kwakweli hata mimi sikubali kurudi.Yaani aache kuchezea timu zinazoongozwa na Professionals kuanzia mpishi, mfagizi alafu aje achezee Taifa stars inayoongozwa na Wanasiasa.
Huyu mpange yule asipangwe π
Umemaliza mkuu...Katiba ya nchi yako ni tofauti na ya Marekani.
US. Hata ukizalia kwenye ndege au meli iliyowekwa chata yao wewe ni Mmarekani bila kujali ilikuwa imepaki wapi mda huo.
Huyu kijana na wazazi wake hawakupewa uraia wa Tanzania.
Achana na ule uongo wa civics ya form one ya citizen by birth.
Umeona eeh, yaani hata siku moja siwezi kurudi bongoππ π€£ Kwakweli hata mimi sikubali kurudi.