KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
NESTORY IRANKUNDA, kutoka Wilayani Kasulu, Kigoma, Tanzania mpaka Australia ambapo leo anahitajika na Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani! Ndoto za Nestory Irankunda ni kuitumikia Tanzania kwa kuivaa jezi ya Taifa Stars.
Ni Mwanasoka ambaye ana uwezo na ubora wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, Nestory Irankunda alizaliwa na kulelewa kambi ya Wakimbizi pale mkoani Kigoma! Bahati mbaya sana kijana wetu hajaitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars, anaitumikia klabu ya Adelaide United ya nchini Australia.
Hii ni another talent kubwa mno mno inastahili sana kuiwakilisha bendera ya Tanzania.