Net worth za Wasanii wa Bongo

Net worth za Wasanii wa Bongo

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo.

Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji.

Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali?

Karibuni.
 
Tanzania wasanii wengi wameficha viwango vyao vya pesa wanavyomiliki tofaut na nchi za wenzetu
 
Back
Top Bottom