Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mke wake Sara wamehama kutoka makazi yao na kuhamia kwa rafiki yake na bilionea wa kimarekani, Simon Falic ambaye nyumbani kwake kuna handaki la kujilinda na nyuklia.
Maamuzi hayo ameyafanya kuhofia wananchi wake wenye hasira kwa jinsi alivyoitumbukiza nchi hiyo kwenye vita na namna anavyoendesha vita hivyo kwa sasa.
Wawili hao ambao hata kabla ya uvamizi wa Hamas walikuwa na kashfa nyingi za kifisadi kikawaida huwa wanaishi kwenye nyumba zao mbili za kifakhari kwa zamu, moja iliyopo Jerusalem na nyengine kwenye mji wa ufukweni wa Caesarea.
The Telegraph