Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi.
Pamoja na ujinga aliokuwa nao Zelensky lakini kwa kumlinganisha na Benjamin Netanyahu basi yeye ni mtu mwema kidogo ulimlinganisha na Netanyahu.
Cha kushangaza Netanyahu alipoitembelea Marekani na kufanya mazungumzo na Trump mwezi uliopita ilikuwa ni furaha na kuungana mkono wao kwa wao.
Baada ya unyama mkubwa alioufanya Netanyahu kule Gaza na anaoendelea nao kwenye ukingo wa magharibi bado alipewa zaidi ya tiketi ya kufanya analotaka kwa Gaza na wapalestina huku mwenyewe Trump akipendekeza kulimiliki eneo la Gaza.
Iwapo ni hasara Ukraine iliyoitia Marekani kwenye vita vyake na Urusi basi Netanyahu amepokea misaada zaidi ya pesa na silaha ambazo zimeua watu bure na kuigeuza Gaza kifusi bila kuwapata mateka wa Israel na wala kuwang'oa Hamas.
Kama si ubaguzi wa Marekani na kigeugeu chake basi Netanyahu alipotembelea ikulu ya Marekani angepaswa kunaswa vibao kabisa na Trump kwa kushindwa kwake kufikia malengo japo amepokea misaada mikubwa ya Marekani.