shamariwa chool
JF-Expert Member
- Dec 14, 2024
- 265
- 248
Netanyahu hajafanya ukatili wowote alilinda watu wake thid ya watu walio kula kiapo kulifuta taifa lake. Benja alistahili kupokelewa kwa glas ya wine na kama ni tz tungempa na barabara ipewe jina lake ata sgr ya tabora mwanza tungeita Netanyahu sgr