Ni wakati sasa Israel kufutwa kabisaKwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali mbali za kimaisha na wengine kama watalaamu ambapo idadi yao inakadiriwa kuwa 1.5 million.
Balozi huyo amewataka kuondoka kabla hawajachelewa.
Nimeiona hii kwenye X nikaona niilete hapa kwa watu wangu wa habari ki-international.
Je tutegemee kitu kizito kutoka Urusi kutua Israel kwa kulipiza kisasi?
Throughout history, several empires sought to eliminate or subjugate the people of Israel, and many of these empires ultimately collapsed or were destroyed. Here are some key examples:Ni wakati sasa Israel kufutwa kabisa
Hii imekaa kishabiki maana hakuna race iliyowahi kufutwa duniani, ila kuna mabadiliko ya kiuongozi na kigeografia ndio huwa yanatokea kwa mataifa mengi duniani na haihusiani na israel, kwahiyo ulitegemea hitler aishi hadi leo? Ila germany bado ipo na moja ya taifa lenye nguvu dunianiThroughout history, several empires sought to eliminate or subjugate the people of Israel, and many of these empires ultimately collapsed or were destroyed. Here are some key examples:
1. Egyptian Empire (Pharaoh’s reign during the Exodus) – Pharaoh attempted to suppress and enslave the Israelites. Despite his efforts, Egypt suffered plagues and calamities, and the Israelites were freed. Egypt remained a powerful kingdom but lost its prominence over time.
2. Assyrian Empire (8th century BCE) – The Assyrians conquered the northern kingdom of Israel in 722 BCE and took many Israelites into exile. However, the Assyrian Empire later fell in 612 BCE when it was conquered by the Babylonians and Medes.
3. Babylonian Empire (6th century BCE) – The Babylonians destroyed Jerusalem and the First Temple in 586 BCE, leading to the exile of the Jewish people. However, Babylon itself was conquered by the Persians in 539 BCE.
4. Persian Empire (Haman’s plot during King Xerxes' reign) – In the story of Esther, Haman plotted to annihilate the Jewish people, but his plans were thwarted. The Persian Empire lasted longer but eventually fell to Alexander the Great in 330 BCE.
5. Greek Empire (Seleucid Empire, 2nd century BCE) – The Seleucid ruler Antiochus IV Epiphanes attempted to forcibly Hellenize the Jews, desecrating the Second Temple. This led to the Maccabean Revolt. The Seleucid Empire weakened and was eventually absorbed by the Roman Empire.
6. Roman Empire (1st century CE) – The Romans destroyed the Second Temple in 70 CE and sought to erase Jewish identity through harsh repression. However, the Roman Empire itself collapsed over centuries, with the Western Roman Empire falling in 476 CE and the Eastern (Byzantine) Empire in 1453 CE.
7. Nazi Germany (20th century) – Adolf Hitler's regime aimed to exterminate the Jewish people during the Holocaust. While six million Jews were killed, the Nazis were ultimately defeated in World War II, and the state of Israel was established in 1948.
8. Iranian Regimes (Modern Day) – Even today, certain Iranian regimes have expressed hostility towards Israel, threatening its destruction. However, like the empires before them, their number is counted, and their time is limited, as Israel continues to stand strong and persevere.
These examples highlight a consistent theme: those who seek to destroy Israel or its people ultimately face decline or destruction, while Israel endures.
Russian ni comedian kama Mr. Ben tuKwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali mbali za kimaisha na wengine kama watalaamu ambapo idadi yao inakadiriwa kuwa 1.5 million.
Balozi huyo amewataka kuondoka kabla hawajachelewa.
Nimeiona hii kwenye X nikaona niilete hapa kwa watu wangu wa habari ki-international.
Je tutegemee kitu kizito kutoka Urusi kutua Israel kwa kulipiza kisasi?
Unaakili ndogo sana na hata hivyo sikulaumuNi wakati sasa Israel kufutwa kabisa
umemfungua kichwa safi kabisa,Hii imekaa kishabiki maana hakuna race iliyowahi kufutwa duniani, ila kuna mabadiliko ya kiuongozi na kigeografia ndio huwa yanatokea kwa mataifa mengi duniani na haihusiani na israel, kwahiyo ulitegemea hitler aishi hadi leo? Ila germany bado ipo na moja ya taifa lenye nguvu duniani
Empires nyingi zimeisha duniani kote na nchi nyingi zimegawanyika na nyingine zimeungana etc
Soviet imesambaratika etc hayo mambo yote yanatokea katika vita za kiuchumi ,kama unavyoona china anahangaika na taiwan
Morocco anahangaika na western sahara
It has nothing to do na hiyo israel yako ambayo inaishi kwa misaada na hisani ya nchi za ulaya
Hii ndiyo inayowaumiza waislamu na baadhi ya waarabu! Hicho kitu hakiwezekani...na kimsingi ndicho kinawafanya wayahudi watumie akili sana na wajione tofauti.Ni wakati sasa Israel kufutwa kabisa
Msha enda kuchukua vifaa vyenu mlivyo acha baada ya kufulushwa LebanonRussia asumbuane na Ukraine, Israel 🇮🇱 ni namba nyingine
Israel huwa nawambia watu humu special wa 1=3 ni Makondoo wanabisha. Israel hajui lolote wala haoni lolote ni badhi tu ya wanafiki wakiarabu wanapenda pesa ndio wanauza siri. Kule Lebanon inasemekana huyo Nasurlah hakufa wengine wanasema kafa sa watu wanaulizana mwili wake upo wapi na unazikwa wapi 😄 Sheria ya Muislam mwili lazima uzikwe haraka sana unless kuwe na reason ya msingi. Ndio anaweza Cheleweshwa kuzikwa lakini sidhani itakuwa zaidi ya week haijawahi kutokea. Kupiga base ya Russia sababu hajui lolote akidan'gan'ywa na watu hapo kuna target anapiga 😄 Sa vipi asijuwe base ya Russia kama anaona kweli.Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali mbali za kimaisha na wengine kama watalaamu ambapo idadi yao inakadiriwa kuwa 1.5 million.
Balozi huyo amewataka kuondoka kabla hawajachelewa.
Nimeiona hii kwenye X nikaona niilete hapa kwa watu wangu wa habari ki-international.
Je tutegemee kitu kizito kutoka Urusi kutua Israel kwa kulipiza kisasi?
Throughout history, several empires sought to eliminate or subjugate the people of Israel, and many of these empires ultimately collapsed or were destroyed. Here are some key examples:
1. Egyptian Empire (Pharaoh’s reign during the Exodus) – Pharaoh attempted to suppress and enslave the Israelites. Despite his efforts, Egypt suffered plagues and calamities, and the Israelites were freed. Egypt remained a powerful kingdom but lost its prominence over time.
2. Assyrian Empire (8th century BCE) – The Assyrians conquered the northern kingdom of Israel in 722 BCE and took many Israelites into exile. However, the Assyrian Empire later fell in 612 BCE when it was conquered by the Babylonians and Medes.
3. Babylonian Empire (6th century BCE) – The Babylonians destroyed Jerusalem and the First Temple in 586 BCE, leading to the exile of the Jewish people. However, Babylon itself was conquered by the Persians in 539 BCE.
4. Persian Empire (Haman’s plot during King Xerxes' reign) – In the story of Esther, Haman plotted to annihilate the Jewish people, but his plans were thwarted. The Persian Empire lasted longer but eventually fell to Alexander the Great in 330 BCE.
5. Greek Empire (Seleucid Empire, 2nd century BCE) – The Seleucid ruler Antiochus IV Epiphanes attempted to forcibly Hellenize the Jews, desecrating the Second Temple. This led to the Maccabean Revolt. The Seleucid Empire weakened and was eventually absorbed by the Roman Empire.
6. Roman Empire (1st century CE) – The Romans destroyed the Second Temple in 70 CE and sought to erase Jewish identity through harsh repression. However, the Roman Empire itself collapsed over centuries, with the Western Roman Empire falling in 476 CE and the Eastern (Byzantine) Empire in 1453 CE.
7. Nazi Germany (20th century) – Adolf Hitler's regime aimed to exterminate the Jewish people during the Holocaust. While six million Jews were killed, the Nazis were ultimately defeated in World War II, and the state of Israel was established in 1948.
8. Iranian Regimes (Modern Day) – Even today, certain Iranian regimes have expressed hostility towards Israel, threatening its destruction. However, like the empires before them, their number is counted, and their time is limited, as Israel continues to stand strong and persevere.
These examples highlight a consistent theme: those who seek to destroy Israel or its people ultimately face decline or destruction, while Israel endures.
kuna kitu kimoja kobazi haujui, pale israel, lugha ya Kirusi (russian language) ni mojawapo ya lugha zinazoongelewa kwa kundi kubwa sana. Urusi kuna wayahudi takriban 150,000 kwa sasa. ila Israel kuna Wayahudi waliohamia tola urusi karibia 1.5m. hao wengine walizaliwa Urusi vizazi kadhaa na wengine wamehamia karibuni. kusarudisha wayahudi laki tisa au miliono urusi ambao wengi wamekuwa wapiganaji kwenye jeshi la IDF ni kupeleka wapelelezi wengi sana urusi kwa manufaa ya marekani na Israel. hao wayahudi wenye asili (ya kihamiaji) ya urusi waishio Israel, wanaongoa lugha ya kirusi hadi leo. wapo wayahudi wanaongea kiarabu kwasababu walitokea nchi za kiarabu, wapo wanaongea kiajemi kwa sababu walitokea Iran, wapo wanaongea kiethiopia kwa sababu walitokea ethiopia, wapo wanaongea kireno na kispaniola, n.k,ila ugha inayowaunganisha ni kiebrania. sawa na wewe unaongea kizaramo hapo ila lugha inayotuunganisha ni kiswahili.Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali mbali za kimaisha na wengine kama watalaamu ambapo idadi yao inakadiriwa kuwa 1.5 million.
Balozi huyo amewataka kuondoka kabla hawajachelewa.
Nimeiona hii kwenye X nikaona niilete hapa kwa watu wangu wa habari ki-international.
Je tutegemee kitu kizito kutoka Urusi kutua Israel kwa kulipiza kisasi?
UnaotaNi wakati sasa Israel kufutwa kabisa
Hiyo kauli ya kuwataka raia wa Urusi kuondoka Israel HAINA UHUSIANO NA KUSHAMBULIWA BASE YAKE HUKO SYRIA.Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali mbali za kimaisha na wengine kama watalaamu ambapo idadi yao inakadiriwa kuwa 1.5 million.
Balozi huyo amewataka kuondoka kabla hawajachelewa.
Nimeiona hii kwenye X nikaona niilete hapa kwa watu wangu wa habari ki-international.
Je tutegemee kitu kizito kutoka Urusi kutua Israel kwa kulipiza kisasi?
anatamani kitokee ambacho hakitatokea. Urusi kule Ukrain peke yake kamshika koo anatamani kutapika anashindwa, unafikiri atatamani kuingia kwenye confrontation nyingine? urusi hajawahi kuisaidia nchi yeyote kushinda vita, alienda syria wakati hata damascus haijashambuliwa, yupo palepale lakini syria yamebaki magofu, alienda pale kulinda nchi au kumlinda rais Asad peke yake? uwepo wake pale syria una faida gani sasa wakati Israel huwa anaingia na kutoka apendavyo.Hiyo kauli ya kuwataka raia wa Urusi kuondoka Israel HAINA UHUSIANO NA KUSHAMBULIWA BASE YAKE HUKO SYRIA.
NINAJUA UNACHOKIFIKIRIA