5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
- Thread starter
- #21
Sasa wewe lete ya kwako na chanzo hapa tujadili kwanini Urusi inahimiza raia wake waondoke haraka israel kabla hawajachelewaHiyo kauli ya kuwataka raia wa Urusi kuondoka Israel HAINA UHUSIANO NA KUSHAMBULIWA BASE YAKE HUKO SYRIA.
NINAJUA UNACHOKIFIKIRIA