Hio hapa chini video fully ya netanyahu akifanyiwa interrogation
Ni kweli kabisa mfano Taliban liliibuka wakati wa uvam8zi wa soviet , marekani ndio alikua mfandhili,mtoa mafunzo na silaha , baada ya kumfurumusha soviet marekani kamgeukia talbanMakundi ya kigaidi duniani yanayohusishwa na uislamu mojakwamoja ni propaganda za us na Israel hao ndo wenye hyo miradi...
Saiz netanyahu kashikiliwa kooni , alikua anatumia vita Ku buy time kukimbia tuhuma zinazomkabiliUkipata muda check hizi documentary zero days 2016 na hostage s 2022 ndo ujue bwana bibi ni mastermind.
View attachment 3563861
Milele Amina 😎.Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.
Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Yah ndo anachofanya ila kuna shida ya upungufu wa wanajeshi nakurudi nyuma hatakiSaiz netanyahu kashikiliwa kooni , alikua anatumia vita Ku buy time kukimbia tuhuma zinazomkabili
View: https://x.com/i/status/2037699139685814299
Huh ujumbe umfikie SaaaAAAmiaAaUsipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.
Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Kuna ripoti ya uchunguzi imetolewa (BIBI FILES) wakati vita ikiendelea kati ya Iran na Israel. Ripoti hiyo ni video inayomuonyesha Netanyahu akifanyiwa mahojiano na vyombo vya usalama kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha.
Katika ripoti hiyo, Netanyahu anakiri kuwa alitoa ufadhili wa kifedha kwa Hamas ijiimarisha , kwa lengo la kufanya Gaza ibaki katika hali ya kutokua na utulivu na hivyo kuzuia Wapalestina wa Gaza na West Bank wasiungane.
Kama mnakumbuka, Qatar ilianza kutoa misaada kwa watu wa Gaza kwa madai ya kusaidia mishahara ya wafanyakazi, mafuta, na mahitaji ya kibinadamu. Kuanzia mwaka 2018, Israel (chini ya uongozi wa Netanyahu) iliidhinisha misaada hiyo iingie Gaza.
Kilicholikuwa kinafanyika nyuma ya pazia ni kwamba Netanyahu alikuwa anaruhusu fedha ziende kwa Hamas kupitia Qatar kwa kivuli cha misaada. zaidi ya dola bilioni 1 zilitolewa, kwa kiwango cha takriban dola milioni 35 kila mwezi. Netanyahu aliruhusu pesa hizo kupita katika mipaka ya Israel, na wakati mwingine zililetwa hata kwenye mabegi
Fedha hizo zinadaiwa kusaidia kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Hamas, ikiwa ni pamoja na kujenga mahandaki na kununua silaha. Wengi walikuwa wanajiuliza Hamas wanapata wapi fedha za kuendelea kupigana dhidi ya nchi yenye nguvu kama Israel, huku wengi wakiamini kuwa Iran ndiyo mfadhili mkuu. Hatimaye ukweli unaanza kujitokeza.
Hata tukio la Oktoba 7 lilikuwa limeandaliwa kimkakati, Mossad ndio imetengeneza mazingira litokee,wiki chache kabla ya Oktoba 7, 2023, Israel iliomba Qatar kuongeza msaada huo.
Hio hapa chini video fully ya netanyahu akifanyiwa interrogation
View: https://x.com/i/status/2037699139685814299
Naam wanatumia Ujinga wa itikadi uliopo ktk dini kama kivuli na kuwa brain washed watuMakundi ya kigaidi duniani yanayohusishwa na uislamu mojakwamoja ni propaganda za us na Israel hao ndo wenye hyo miradi...
Kuna documentary niliwahi kuisikiliza jamaa wanasema kwamba netanyahu Huwa anaitumia vita ya Palestine na Israel kwaajili ya kujiimarisha kisiasa so hiyo vita ni mradi wake ,Ni kweli kabisa mfano Taliban liliibuka wakati wa uvam8zi wa soviet , marekani ndio alikua mfandhili,mtoa mafunzo na silaha , baada ya kumfurumusha soviet marekani kamgeukia talban
Hamasi ndio kama hivi tunaambiwa funded by Israel,kitu cha kushangaza zaidi ISIS haijawah kushambulia Israel badala yake imekua ikiipiga HAMAS ,hazbollah etc
Hauko Syria ISIS na Hazbollah walikua wanapigana ,Israel alikua aikitoa matibabu kwa majeuhi wa pande zote mbili
Zipo YouTube!?Ukipata muda check hizi documentary zero days 2016 na hostage s 2022 ndo ujue bwana bibi ni mastermind.
View attachment 3563861
Kuna ripoti ya uchunguzi imetolewa (BIBI FILES) wakati vita ikiendelea kati ya Iran na Israel. Ripoti hiyo ni video inayomuonyesha Netanyahu akifanyiwa mahojiano na vyombo vya usalama kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha.
Katika ripoti hiyo, Netanyahu anakiri kuwa alitoa ufadhili wa kifedha kwa Hamas ijiimarisha , kwa lengo la kufanya Gaza ibaki katika hali ya kutokua na utulivu na hivyo kuzuia Wapalestina wa Gaza na West Bank wasiungane.
Kama mnakumbuka, Qatar ilianza kutoa misaada kwa watu wa Gaza kwa madai ya kusaidia mishahara ya wafanyakazi, mafuta, na mahitaji ya kibinadamu. Kuanzia mwaka 2018, Israel (chini ya uongozi wa Netanyahu) iliidhinisha misaada hiyo iingie Gaza.
Kilicholikuwa kinafanyika nyuma ya pazia ni kwamba Netanyahu alikuwa anaruhusu fedha ziende kwa Hamas kupitia Qatar kwa kivuli cha misaada. zaidi ya dola bilioni 1 zilitolewa, kwa kiwango cha takriban dola milioni 35 kila mwezi. Netanyahu aliruhusu pesa hizo kupita katika mipaka ya Israel, na wakati mwingine zililetwa hata kwenye mabegi
Fedha hizo zinadaiwa kusaidia kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Hamas, ikiwa ni pamoja na kujenga mahandaki na kununua silaha. Wengi walikuwa wanajiuliza Hamas wanapata wapi fedha za kuendelea kupigana dhidi ya nchi yenye nguvu kama Israel, huku wengi wakiamini kuwa Iran ndiyo mfadhili mkuu. Hatimaye ukweli unaanza kujitokeza.
Hata tukio la Oktoba 7 lilikuwa limeandaliwa kimkakati, Mossad ndio imetengeneza mazingira litokee,wiki chache kabla ya Oktoba 7, 2023, Israel iliomba Qatar kuongeza msaada huo.
Hio hapa chini video fully ya netanyahu akifanyiwa interrogation
View: https://x.com/i/status/2037699139685814299
Netanyahu anahitaji uwepo wa HAMAS na vita ku survive kwenye nafasi yake, ndio maana Kila mara yeye ndio mvunjaji mkuu wa peace deal. No peace deal means endless war, means he stays Mr. Security.Kuna documentary niliwahi kuisikiliza jamaa wanasema kwamba netanyahu Huwa anaitumia vita ya Palestine na Israel kwaajili ya kujiimarisha kisiasa so hiyo vita ni mradi wake ,
Now naona mambo yameanza kuwa hadharani niliisikia muda kidogo yapata miaka 2 nyuma
Duh ukiwa na akili hii bora ufe tuuNarudia tena. NETANYAHU KAFA AU KAFARIKI tangu tarehe 8 mwezi huu.
Lkn chezo linachezwa wenye akili tu ndio wataelewa utasikia kalamizishwa kujiuzulu sababu ya kesi yake 🤠🤠🤠