Netanyahu anajitetea anaogopa Mvua ya drone na fatah 2

Netanyahu anajitetea anaogopa Mvua ya drone na fatah 2

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
zilizopitaIsrael: Hatukuhusika na mashambulizi ya jana usiku dhidi ya Iran
.Chanzo cha picha,Reuters
Jeshi la Israel lilisema Jumanne kwamba halikuhusika katika mashambulizi yanayoripotiwa kufanywa na Marekani dhidi ya kisiwa kimoja nchini Iran.

Taarifa hiyo imekuja wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, hivi karibuni alitishia kuanzisha tena vita dhidi ya Tehran.

Akijibu swali la AFP, msemaji wa jeshi la Israel alisema kuwa Israel haikushiriki katika mashambulizi ya Marekani ya jana usiku dhidi ya Kisiwa cha Qeshm.

Marekani yashambulia kisiwa cha Iran kabla ya uchaguzi wa katikati ya muhula

Wang Yi: China yaunga mkono juhudi za Iran kulinda mamlaka na usalama wake
 
Back
Top Bottom