Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Siku zote vita vilivyozuka hata mitaani kwetu vikiaribia kuisha basi ngumi zinapungua na yule alaiyeshindwa hua anatoa maneno ya kuwaonesha watu kuwa yeye ndiye mshindi.Matokeo yake watu wanaona ugomvi umekwisha na kila mmoja anashika njia aende zake.
Maneno ya aina hiyo yametolewa na waziri mkuu wa Israel pamoja na waziri wake wa ulinzi,kwamba japokuwa wamepigwa na shambulia la kuvizia hapo jana na kuua askari wake kadhaa,lakini wamesema Israel itaendelea na vita mpaka mwisho.
Kauli hiyo imetolewa wakati raisi Biden na mshauri wake wa ulinzi wakitoa kauli za kuilaumu Israel katika vita hivyo kwa kuendelea kuua raia ovyo ndani ya Gaza.