Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,178
- 3,865
Kitu ambacho hujanielewa nikuwa. Msumbiji ni nchi kubwa pia hatujaizunguka kwa pande zote. Gaza ni eneo dogo na wayahudi wamelizunguka pande zote. Yaani gaza hawawezi hata kununua basi jipya wayahudi wasijue. Pili magaidi ya msumbiji tulikuwa hatuna ubaya nao siku zote lakini wayahudi na gaza wanaubaya nao kwa miaka 75. Pia mimi sijaongelea tukio la october 7 pekee. Hilo ni shambulizi la kushitukizwa. Laweza fanywa kwa nchi yoyote je wafanyaji wataendelea kutoonekana wakiwa wamejificha kwenye kaeneo kadogo kuliko kisiwa cha ukereweMasaa 10 ni muda ambao jeshi haliwez jiorganize ndan ya mipaka yake ? Acha kutetea ujinga mkuu , Israel walifanikiwa wafyeka wale wachache waliobakia kuonesha upinzan kwa idf ndan ya Israel , je nyiny mliweza , waliua kuchinja , na kuchoma nyumba za watu na kushoot hadi video kabisa , na kisha kuondoka na mateka mpk msumbiji , je mipaka yetu inalindwa kwel ? Unapozungumzia ugaidi ni jambo kubwa tofaut na unavyofikiri , kenya akifanya hivyo tutajua pa kuanzia ila makundi ya kigaidi ni ngumu sana kutmyakabili na mwishowe utaua raia tu