Netanyahu asema japo tumepigwa na watu wanatupigia makelele lakini tutapigana tu

Kitu ambacho hujanielewa nikuwa. Msumbiji ni nchi kubwa pia hatujaizunguka kwa pande zote. Gaza ni eneo dogo na wayahudi wamelizunguka pande zote. Yaani gaza hawawezi hata kununua basi jipya wayahudi wasijue. Pili magaidi ya msumbiji tulikuwa hatuna ubaya nao siku zote lakini wayahudi na gaza wanaubaya nao kwa miaka 75. Pia mimi sijaongelea tukio la october 7 pekee. Hilo ni shambulizi la kushitukizwa. Laweza fanywa kwa nchi yoyote je wafanyaji wataendelea kutoonekana wakiwa wamejificha kwenye kaeneo kadogo kuliko kisiwa cha ukerewe
 
Kwa technology ipi 😊 napenda kuelewa level yako ya ELIMU??!!

Unakunywa uji unashiba unakuja ku comment hapa🤣🤣😂😂

Una jeshi la kupambana na HAMAS?? Vita vya kagera vilitutoa jasho mpaka Leo Kuna cost still zinatugharimu kama taifa...

Tofautisha panya roads na HAMAS🤓🤓
 
Kwa mfumo wa siraha za marekani zilivyobora hata tukiwapa wanafunzi wa form four tanzania wanaweza kuihamisha hata uingereza. Kwa huo mfumo wa piga chochote popote huku ukiwa na siraha kubwa kuliko yoyote lazima utambe tu mjini. Kwa siraha walizonazo wayahudi juu ya gaza mi nawaona kama wamekuwa wazembe tukilinganisha na eneo la gaza lilivyo dogo
 
Kwanza gaza ni eneo dogo sana. Hata ukipeleka watu wasio na technology kubwa na uwezo mkubwa wa kielimu ila tu wakawemo kwa muda mrefu wanaweza kuwajua tofauti ya hamas na raia wa kawaida. Ukumbuke gaza nikama kisiwa ndani ya israel. Hata wakinunua lori mpya lazima israel walitambue ndo maana mpaka leo hawana hata kifaru kimoja. Maana hakuna pa kupitia. Tusiwatetee tukubari wayahudi ni wazembe. Eneo lile nidogo kulipeleleza halihitaji elimu na technology yoyote. Hata ukipeleka watu 50 tu kwa miaka mitano wanamaliza kazi
 
Mkuu,
Vita vinasheria zake na ukizikiuka unaingia matatizoni..

Wangefanya ivyo unavyo fikiria sisimizi,mende,kunguni na Kila kiumbe kingeuwawa...

Vita visikie vita sio pool table au kucheza mchezo wa Draft au Bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…