Netanyahu atinga mjini! Aacha ujumbe mzito..

Akutana na kagame mzee wa kazi na kuahidi kufungua balozi hapo kigali mwakani!
 
Akubarikie ntambariki. atake kulaani Nami nitamlaani. Unakumbuka Ile operation thunderbolt? KenyattaMzee aliwapa kila msaad waliohitajiWaliongeza mafuta ndege zao embakasi. Mara baada ya mission wagonjwa na majeruhi walipumzika kenyatta hospital kwa matibabu zaidi. Tangia hapo wakenya wamekua ndugu na wayahudi,ndugu kuliko ujuavyo wewe. Kwanini hiyo bahati haikupita kwetu?? Utanisaidia kujibu.
 
Jamaa kumbe anaandikia kushoto...ndo maana ana IQ kubwa kuliko karibia waarabu wote Middle East
 
Kwasababu wakati ule tulikunywa maji ya ujamaa na tulipingana na nchi zote zilizo kubaliana ma apartheid ya South Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…