Netanyahu atinga mjini! Aacha ujumbe mzito..

Netanyahu atinga mjini! Aacha ujumbe mzito..

Akubarikie ntambariki. atake kulaani Nami nitamlaani. Unakumbuka Ile operation thunderbolt? KenyattaMzee aliwapa kila msaad waliohitajiWaliongeza mafuta ndege zao embakasi. Mara baada ya mission wagonjwa na majeruhi walipumzika kenyatta hospital kwa matibabu zaidi. Tangia hapo wakenya wamekua ndugu na wayahudi,ndugu kuliko ujuavyo wewe. Kwanini hiyo bahati haikupita kwetu?? Utanisaidia kujibu.
Kha! Hiyo ni bahati au mkosi!
 
Tutabaki kubwabwaja tu wakenya wana roho mbaya huku wenzetu wakipeta tu na kuwafikia hatuwezi. Tunajitia mamikosi wenyewe kwa kupiga na kuua watu na chuki za ki******
 
Huyu jamaa hazeeki !!!
mwana dipromasia wa kimataifa mkomavu sana.
 
Kuna mtu namfaham anaandikia kushoto ni kilaza wa kutupwaa
Huyu angewezeshwa angekuwa mtu tofauti, mazingira ya kibongo bongo yanachangia... Ila wanaotumia letf wapo vizuri...

Marais wa Marekani walio kuwa wanatumia left

James A. Garfield (1831-1881) 20th
Herbert Hoover (1874-1964) 31st
Harry S. Truman (1884-1972) 33rd
Gerald Ford (1913- ) 38th
Ronald Reagan (1911 - ) 40th
George H.W. Bush (1924-) 41st Bill Clinton (1946-) 42nd
Barack Obama (1961-) 44th
 
Back
Top Bottom